Kuhusu Ushirika Wetu
Jua historia, maono, na muundo wa ushirika wetu
Historia
2009
Immanuel Nivokavit Kombe – Mbeba Maono wa ushirika.
2015
JIBU GROUP COMPANY LTD – Kampuni iliyoleta mwamko wa umuhimu wa elimu ya fedha.
2022
Kubadilishwa kuwa SACCOS – Baada ya changamoto mbalimbali, wazo la kuwa SACCOS likawa rasmi.
2022
Katiba Rasmi 01/07/2022 – Katiba ikatengenezwa na kusajiliwa, ushirika ukaanza rasmi.
Muundo wa Ushirika
Mbeba Maono
Immanuel Nivokavit Kombe ndiye mwanzilishi na mbeba maono wa ushirika huu.
JIBU GROUP COMPANY LTD
Kampuni mama inayosimamia shughuli za kiutendaji, masoko, na elimu kwa wanachama.
Ubia wa Kipekee
Ushirikiano kati ya Mbeba Maono na JIBU GROUP unahakikisha mfumo endelevu.
Changamoto Zilizojitokeza
- Ukosefu wa elimu ya fedha kwa wanachama
- Mfumo dhaifu wa uwekaji kumbukumbu
- Changamoto za uaminifu na uwazi
- Uhaba wa miongozo rasmi ya uwaraji
Ufumbuzi Wetu
- Elimu endelevu kupitia vitabu na miongozo
- Mfumo wa kisasa wa kidijitali
- Uwazi kamili wa malipo na akiba
- Katiba na sera rasmi za uendeshaji